Watanzania 7 waliotajwa kuwania tuzo za AFRIMMA 2016 Texas Marekani

Tarehe 15 October 2016 zitatolewa tuzo za AFRIMMA 2016 kwa mara nyingine tena, ni tuzo zinazotolewa kila mwaka Dallas Texas Marekani ambapo zinahusisha zaidi Wasanii mbalimbali wa muziki waliofanya vizuri kutoka bara la Afrika.
Wanaowania tuzo za 2016 tayari wametajwa ambapo miongoni mwao, Watanzania wanaowania ni Dancer wa Diamond Platnumz Mose Iyobo, Diamond Platnumz mwenyewe, Alikiba, Yamoto Band, Vanessa Mdee, Linah na Producer Tudd Thomas kama inavyoonekana kwenye hii list hapa chini.
a1
5
3
8B
9
9B
10
4
Japokua hapa wameandika Sauti Sol wamemshirikisha Alikiba, kitu sahihi ni kwamba wimbo huu ni wao wote na sio Alikiba kushirikishwa, huo wimbo wa pili wa Akothee ndio Diamond kashirikishwa.
16
15
13
12
11
8
7
6
1
2
Share on Google Plus

About Bachema

Blog hii inamilikiwa na Bachema Media,Kwa Biashara na Matangazo Wasiliana nasi kwa Tigo:0717342094,Email.bachemao@gmail.com.kama una wimbo pia unaweza kutuma kwenye email.bachemao@gmail.com.Karibu utangaze nasi kwa Bei Nafuu Kabisa.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment