VIDEO: Diary ya Alikiba imefunguliwa rasmi, episode ya kwanza ni yeye na R Kelly | Download MP4


Mwimbaji staa wa bongofleva Alikiba ameanza kutimiza zile ahadi zilizotolewa katika mambo yake makubwa matano kwamba mojawapo ni hili la
ROCKSTAR TELEVISION kuonyesha sehemu ya maisha yake ambapo leo wameanza na hii alivyoingia studio na mwimbaji staa wa Marekani R.Kelly.
Matukio mbalimbali yaliyowahi kufanywa na yanayofanywa na Alikiba yatakua yakionekana kupitia ROCKSTAR TELEVISION kama inavyoonekana hapa chini kwenye hii video.
DOWNLOAD MP4

0 comments: