NEW VIDEO | Allan Kingdom - Fables ft. Chronixx{Official Video} | Download MP4


Muhesabie tu siku maana kwa ukali wake Mungu akijalia ni soon atakua kwenye headlines nzito zaidi ya alizonazo sasa hivi, jina lake la kuzaliwa ni Allan Kyariga, alizaliwa Canada baba akitokea South Africa na mama akitokea Tanzania

Ujazo wa jina la Allan Kingdom ambaye kwa sasa anaishi Marekani, uliongezeka alipotumbuiza na rapper maarufu duniani Kanye West, leo katuletea video mpya ambayo ameifanya Jamaica ikiwa ni kolabo na Chronixx, ukishaitazama usiache kutoa comment yako ili Allan ajue Watanzania wameipokeaje.
DOWNLOAD MP4
Share on Google Plus

About Bachema

Blog hii inamilikiwa na Bachema Media,Kwa Biashara na Matangazo Wasiliana nasi kwa Tigo:0717342094,Email.bachemao@gmail.com.kama una wimbo pia unaweza kutuma kwenye email.bachemao@gmail.com.Karibu utangaze nasi kwa Bei Nafuu Kabisa.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment