Malalamiko: Label ya ‘Royal Nsyepa Ltd’ yaijia juu Rock Star4000, ni baada ya kutangaza kumsaini Barakah Da Prince

Baada ya label ya Rockastar4000 kutangaza kumsaini Hitmaker wa Siwezi, Barakah Da Prince, kampuni ya ‘Royal Nsyepa Ltd’ ambayo inadai ilikuwa ikimsimamia msanii huyo imetoa malalamiko ikidai bado ilikuwa na mkataba na msanii huyo.
wp-1467956044804.jpeg
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na mtandao wa kampuni hiyo, imedai kampuni hiyo bado ilikuwa kwenye mazungumzo na uongozi wa label ya Rockastar4000 na walifikia makubaliano waununue mkataba wa msanii huyo.
Mkataba
Hii ni taarifa ya kampuni hiyo.
I would like to take this opportunity to condemn the so called Rockstar 4000 for anouncing the singning of one Bongo flava artist Barakah da prince while aware the artist in question is still contracted to us Royal Nsyepa Ltd. We are deeply disappointed with this unprofessional move by a well known Rock star 4000 as their actions shows lack of respect not just to us Royal Nsyepa Ltd but to all legal process in Tanzania that we followed to tie Barakah da prince with long term contact.
As they are the ones who came to us to seek to buy out our contract with Barakah da Prince I suggest to them they should stop acting as bunch of hooligans, instead they shall finish the buy out process they started.
Nachukua fursa hii kulaani vikali kitendo cha wanaoitwa Rock star 4000 kutangaza wamemsainisha msanii Barakah da prince huku wakijua kuwa msanii huyo bado ana mkataba nasi Royal Nsyepa Ltd.
Kwa kuwa ni wao ndio walitufuata kutaka kununua mkataba wetu na Barakah da prince basi waache mambo ya kihuni wamalize mchakato wa kununua mkataba huo.
Mkala Fundikira
Royal Nsyepa Ltd.

Share on Google Plus

About Bachema

Blog hii inamilikiwa na Bachema Media,Kwa Biashara na Matangazo Wasiliana nasi kwa Tigo:0717342094,Email.bachemao@gmail.com.kama una wimbo pia unaweza kutuma kwenye email.bachemao@gmail.com.Karibu utangaze nasi kwa Bei Nafuu Kabisa.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment