Kutoka katika utoaji wa tuzo za BET Awards,tuzo aliyokua akiwani Diamond Platnumz,matokeo yametangazwa

diamond platnumz bet 2016

Diamond Platnumz pamoja na wasanii wengine toka Afrika walikuwa wakiwania tuzo ya Best International Act: Africa na matokeo yametangazwa huku mwanamuziki Black Coffee kutoka Afrika Kusini ndiye aliyenyakua tuzo hiyo.

ww 
Mwanamuziki Black Coffee kutoka Afrika Kusini baada ya kutangazwa mshindi.
Black Coffee ameweka historia baada ya kuwa msanii wa kwanza kutoka Afrika Kusini kushinda tuzo ya BET.
Tuzo za wanasnii wengine wa kimataifa zinatarijiwa kufanyika kesho Jumapili Juni 26, Marekani.
Share on Google Plus

About Bachema

Blog hii inamilikiwa na Bachema Media,Kwa Biashara na Matangazo Wasiliana nasi kwa Tigo:0717342094,Email.bachemao@gmail.com.kama una wimbo pia unaweza kutuma kwenye email.bachemao@gmail.com.Karibu utangaze nasi kwa Bei Nafuu Kabisa.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment