Huyu ndie msanii mkubwa wa Nigeria anaetamani kufanya Collabo na Harmonize

Nyota ya Msanii kutoka lebel ya WCB Harmonize inazidi kung’aa kimataifa baada ya msanii mkubwa wanigeria ambae ni HitMaker wa nyimbo ya WOJU maarufu kama Kiss Daniel kusema kuwa anatamani kufanya kazi na Harmonize.
harmo-kiss
Katika swali aliloulizwa katika mtandao wa Twitter, Kiss Daniel alijibu kuwa anatamani kuanya kazi na Diamond Platnumz pia na msanii ambae yuko katika lebel ya WCB ambae ni Harmonize.

1 comment: