Criss Wamarya, Sija achia wimbo mpya kwajili ya Christmas na mwaka mpya

Criss Wamrya
Criss wamarya alipata nafasi ya kuongea na Blog hii baada ya kila tukipita katika ukurasa wake wa facebook tuliona akisema anatarajia kuachia wimbo mpya ambapo ilikuwa tokea mwaka jana ambao amemshilikisha msanii Madee.
 
 Madee.
Criss: Alisema sababu ya kuchelewa kufanya hivyo ni kutokana na wasanii wengi kuachia nyimbo zao wakati wa mwisho wa mwaka. Ila sijaona kama kunamaana yoyote ya kufanya hivo kwani kila mmoja akifanya hivyo je mwanzo wa mwaka nani atakuwa na kipya tena na mashabiki watasikiliza kazi ipi mpya ya bongo tena.
 Anatalajia kuachia wimbo huu jumatatu ya tarehe 18 mwizi huu na ambao kamshilikisha Madee wa Tip Top ambao wimbo unaenda kwa jina la Pepea

Source.Chuma Empire 
Share on Google Plus

About Bachema

Blog hii inamilikiwa na Bachema Media,Kwa Biashara na Matangazo Wasiliana nasi kwa Tigo:0717342094,Email.bachemao@gmail.com.kama una wimbo pia unaweza kutuma kwenye email.bachemao@gmail.com.Karibu utangaze nasi kwa Bei Nafuu Kabisa.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment