Sentensi za Ommy Dimpoz kuhusu single mpya ‘Achia Body’ pamoja na uzinduzi wa video!!!
Inawezekana ni muda mrefu sana haujamsikia Ommy Dimpoz akizimiliki headlines kwenye ma Radio na TV, sasa time anatarajia kuachia single mpya iitwayo Achia Body iliyotayarishwa na Man Water & Mo Fire.
Akiongea na ripota wa millardayo.com alisema..’Baada ya kimya cha muda mrefu kutokana na tours zangu kwahiyo imepita kipindi kirefu sana mashabiki zangu walikuwa wanasubiri ujio wangu ndio maana nikaona sio vibaya kuwapa zawadi ya kufungia mwaka pamoja na sikukuu ya Chrismas’>>> Ommy Dimpoz
WE33333334444444
‘Ndio maana nimeamua kuachia rasmi hii single yangu iitwayo Achia Body imetayarishwa na Man Water & Mo Fire, video nimeshoot Afrika Kusini kikubwa tu zaidi watu wajiandae kucheza muziki mzuri kwahiyo ni ngoma ambayo itawapa watu furaha, na kesho ndio siku ambayo nitaizindua video ya single hiyo mpya pale AKEMI Golden Jubilee Town Dar es Salaam‘>>>Ommy Dimpoz
Share on Google Plus

About Bachema

Blog hii inamilikiwa na Bachema Media,Kwa Biashara na Matangazo Wasiliana nasi kwa Tigo:0717342094,Email.bachemao@gmail.com.kama una wimbo pia unaweza kutuma kwenye email.bachemao@gmail.com.Karibu utangaze nasi kwa Bei Nafuu Kabisa.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment