Ommy Dimpoz Kuja na 'Achia Body'


Muimbaji huyo ambaye mara ya mwisho aliachia wimbo wa Wanjera uliozua gumzo baada ya kumtumia Wema Sepetu kwenye Video yake ametease artwork ya kazi yake hiyo instagram.

Hata hivyo hajatoa siku rasmi ambayo itatoka kazi hiyo na kama ni audio au na video pia.Share on Google Plus

About Bachema

Blog hii inamilikiwa na Bachema Media,Kwa Biashara na Matangazo Wasiliana nasi kwa Tigo:0717342094,Email.bachemao@gmail.com.kama una wimbo pia unaweza kutuma kwenye email.bachemao@gmail.com.Karibu utangaze nasi kwa Bei Nafuu Kabisa.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment