Ommy Dimpoz Kuja na 'Achia Body'


Muimbaji huyo ambaye mara ya mwisho aliachia wimbo wa Wanjera uliozua gumzo baada ya kumtumia Wema Sepetu kwenye Video yake ametease artwork ya kazi yake hiyo instagram.

Hata hivyo hajatoa siku rasmi ambayo itatoka kazi hiyo na kama ni audio au na video pia.0 comments: