Jarida la New African,majina matano ya wasanii wenye ushawishi mkubwa zaidi Africa 2015,mtanzania ni huyu.

sylvester-569538_640
Jarida la New African toleo ya December 2015 limataja majina matano ya wasanii wenye ushawishi mkubwa zaidi Africa.
1] Mwigizaji kutoka Kenya Lupita Nyong’o.
lupita_2
2] Mtangazaji wa The Daily Show kutoka Africa kusini  Trevor Noah.

JOHANNESBURG, SOUTH AFRICA - SEPTEMBER 11: Trevor Noah attends  the Comedy Central Roast of Steve Hofmeyer at the Lyric Theatre, Gold Reef City on September 11, 2012 in Johannesburg, South Africa.  (Photo by Dominic Barnardt/Gallo Images/Getty Images for MTV)
3] Diamond Platnumz ,mwimbaji wa muziki kutoka Tanzania.
diamond
4] Yemi Alade msanii kutoka Nigeria.
yemi-alade-visualssss_0
5] Koffi Olomide  msanii wa muziki kutoka DRC Congo.
 KOFFI-OLOMIDE
Share on Google Plus

About Bachema

Blog hii inamilikiwa na Bachema Media,Kwa Biashara na Matangazo Wasiliana nasi kwa Tigo:0717342094,Email.bachemao@gmail.com.kama una wimbo pia unaweza kutuma kwenye email.bachemao@gmail.com.Karibu utangaze nasi kwa Bei Nafuu Kabisa.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment