Best Nasso Kuja Na Mkwaju Mpya Jumamosi Hii..

Baada Ya Kusemekana Best Nasso, Amekamatwa nchini Congo na Madawa Ya
Kulevya. Hatimae amewazilishia mashabiki wake kua tuhuma hizo si za
kweli,Na Amechia bonge moja la wimbo.

Wimbo uitwao "RUMBA" ni Audio Pamoja na Video,Amesema wimbo huo
Utaanza Kupatikana kwenye mtandao wa Mkito.com kuanzia Jumamosi Tarehe
12 mwezi wa 12 ambayo ni siku yake Ya Kuzaliwa
Share on Google Plus

About Bachema

Blog hii inamilikiwa na Bachema Media,Kwa Biashara na Matangazo Wasiliana nasi kwa Tigo:0717342094,Email.bachemao@gmail.com.kama una wimbo pia unaweza kutuma kwenye email.bachemao@gmail.com.Karibu utangaze nasi kwa Bei Nafuu Kabisa.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment