Baby J Asaini mkataba Mkubwa Na Wanawe


  Baada ya kimya kirefu Baby J ameamua kupiga hatua kubwa katika industry ya muziki , kwa kusign mkataba na Mkubwa Na Wanawe,ambapo alikutana na CEO lebo hiyo Said Fella na meneja Yusuph Chambusso ambao walimuongoza kusaini mkaba huo ambao utakuwa na manufaa kimziki na maisha yake pia. Baada ya Mkataba sasa hakuna kupoteza muda anakuja na project yake mpya iitwayo'Muafaka' Ambayo amemshirikisha Maromboso Mshedede wa Yamoto Band..Kaa mkao wa kupata ngoma hiyo soon.

0 comments: