“Unadhani Diamond, Wizkid, Burnaboy etc. sio International,” Jibu la AKA kwa wanaouliza lini atafanya Collabo za kimataifa

Rapper wa Afrika kusini, AKA amesema kufanya collabo za kimataifa sio mpaka ufanye na wasanii wa nje ya Afrika.
Kupitia Twitter AKA amewajibu wanaouliza lini atafanya collabo za kimataifa,  amesema kufanya collabo na Diamond, Wizkid au Burna boy ni kufanya collabo za kimataifa

AKA ameashiria wazi kuwa tayari anacollabo ndani na Diamond, Wizkid na Burnaboy ambaye tayari wameshirikiana kwenye baadhi ya nyimbo.

AKA alikuja Tanzania mwezi wa tano mwaka huu kwa ajili ya ‘Zari all white party’ na aliingia studio na Diamond na Joh Makini ambaye tayari wimbo umetoka.
Share on Google Plus

About Bachema

Blog hii inamilikiwa na Bachema Media,Kwa Biashara na Matangazo Wasiliana nasi kwa Tigo:0717342094,Email.bachemao@gmail.com.kama una wimbo pia unaweza kutuma kwenye email.bachemao@gmail.com.Karibu utangaze nasi kwa Bei Nafuu Kabisa.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment