Yemi Alade kutua Bongo kumtafuta JohnnyMwanamuziki kutoka Nigeria Yemi Alade anatarijiwa kutua Tanzania Tarehe 8 mwezi Agosti mwaka huu.
Msanii huyo ambae ametamba sana na ngoma yake ya "Johnny" ambapo ameamua kuvuka boda zote mpaka Bongo kuja kumtafuta Johnny kwenye "Tamasha la Matumaini".
Kwa sasa mwanadada huyo ametoa ngoma yake mpya inayoitwa "Tangerine" Bonyeza HAPA kutazama na kusikiliza wimbo huo

0 comments: