UMEZIONA PICHA ZA SHOW ALIYOFANYA DIAMOND PLATNUM HUKO MAREKANI ZIKO HAPA.


 


Diamond Platnumz prezda wa wasafi akifanya makamuzi Kansas City siku ya Jumapili July 6, 2014 katika kukamulisha sherehe za uhuru wa Marekani onesha lake likihudhuriwa na mashabiki wa Afrika Mashariki wakiwemo wazawa kibao waliojitokeza kumuunga mkono.
0 comments: