Picha,Brazil 1,Germany 7 AHADI,Roma Na Bob Junior Wamesharekodi Wimbo Pale Sharobaro Records.

                                                                                                                                                                                                                                            Hii ilikuwa Talk Of The Town wakati wa kombe la dunia pale Rapper Roma alipoandika kwenye Instagram yake kuwa atahamia Sharobaro Records na atafanya kazi na Bob Junior.  Na kweli siku ho Brazil walifungwa na Ujerumani bao saba kwa moja.
Taarifa mpya ni kwamba Roma amesharekodi wimbo na Bob Junior unaitwa Maumivu kwenye studio za Sharobaro na wimbo huu unatokia wiki ijayo.
Hizi picha za Roma na Bob Junior  walivyokuwa studio .
bb jr 2
Share on Google Plus

About Bachema

Blog hii inamilikiwa na Bachema Media,Kwa Biashara na Matangazo Wasiliana nasi kwa Tigo:0717342094,Email.bachemao@gmail.com.kama una wimbo pia unaweza kutuma kwenye email.bachemao@gmail.com.Karibu utangaze nasi kwa Bei Nafuu Kabisa.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment