HONGERA SANA DIAMOND PLATNUM,NI HATUA NZURI HIYO


Mkali huyu(DIAMOND)anastahili pongezi za ajabu kutokana na kuendelea kuipa raha nchi yake kwa kuiwakilisha vizuri kimuziki kimataifa. Hivi Juzi ametoka kushiriki tuzo za BET, hajakaa sawa ameshinda "Cheti cha Kora" huku anasubiri kushiriki kilele cha  tuzo za AFRIMMA tarehe 26/07/2014 ambako ameshindanishwa vipengele visivyohesabika.afrimma_flyer_web2
Kupitia fb Diamondi ameandika hivi

"Shukrani zangu za dhati ziende kwenu Wadau na Mashabiki zangu kwa Kura zenu nyingi mlizonipigia kwenye Tuzo za Kora na Kunifanikisha kushinda "Platinum Certificate" ya kuwa Msanii Bora wa Kiume Toka East Africa... Next stop! Afrimma Awards, Let's Go get it Hommies!!!!!"

Kumpigia Diamond kura ingia katika link hii
http://afrimma.com/afrimma-nominees-2014/

0 comments: