Hii Ndiyo Ratiba ya Serengeti Fiesta 2014

fiestaaFiesta ni tamasha linalowakutanisha wasanii mbalimbali wa ndani na nje ya Tanzania kwenye msimu wa mafanikio pamoja na mashabiki wao kila mwaka ambapo kwa mwaka huu kuna mikoa kadhaa imeongezeka.
Kupitia show ya XXL, Sebastian Maganga ambaye ni Mwenyekiti wa Kamati ya Fiesta 2014 amesema mwaka huu kuna mikoa minne imeongezeka lakini kwa utangulizi kwa kanda ya ziwa imeongezeka Kahama na Bukoba.
Fiesta 2014 itaanzia Mwanza August 09 kisha wiki ya pili ni Bukoba ambayo itakua August 15 na Kahama August 17 baada ya hapo ni Musoma August 22 na Fiesta 2014 kwa kanda ya ziwa itamaliziwa Shinyanga Mjini August 24.
SERENGETI 2014 TUPO PAMOJA, SAMBAZA UPENDO..  NI SHEEEEDAH.
Share on Google Plus

About Bachema

Blog hii inamilikiwa na Bachema Media,Kwa Biashara na Matangazo Wasiliana nasi kwa Tigo:0717342094,Email.bachemao@gmail.com.kama una wimbo pia unaweza kutuma kwenye email.bachemao@gmail.com.Karibu utangaze nasi kwa Bei Nafuu Kabisa.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment