Diamond kutoa albam bora 'Bum Bum'


Diamond Platinumz amepanga kuwapa kitu kizima mashabiki wake wa dunia nzima aliowakusanya kwa hits kadhaa za kiasili na za kimataifa.
Mkali huyo wa ‘MdogoMdogo’ amepanga kuachia albam yake mpya aliyoipa jina la ‘Bum Bum’ ambayo amesema itabeba nyimbo takribani kumi.
Diamond alifunguka kwenye interview aliyofanya katika red carpet ya tuzo za BET ambapo alidai itakuwa moja kati ya albam bora zaidi ya muda wote itakayowajumuisha wasanii wa ndani na nje ya Afrika.
“I’m about to drop my next album, it’s gonna be called Bum Bum. It’s gonna have like ten tracks. And this time I will collaborate with artists from Africa and out of Africa. Its gonna be one of the best album EVER.” Alisema Diamond alipokuwa anahojiwa na mtangazaji mrembo aliyemsifia sana kwa mavazi aliyovalishwa na Ngowi.
Bum Bum ni jina la wimbo aliofanya na mkali wa Kukere ‘Iyanya’.
Share on Google Plus

About Bachema

Blog hii inamilikiwa na Bachema Media,Kwa Biashara na Matangazo Wasiliana nasi kwa Tigo:0717342094,Email.bachemao@gmail.com.kama una wimbo pia unaweza kutuma kwenye email.bachemao@gmail.com.Karibu utangaze nasi kwa Bei Nafuu Kabisa.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment