SIMANZI:MAMA MZAZI WA ZITTO KABWE AFARIKI DUNIA: R.I.P OUR MAMA

Screen Shot 2014-06-01 at 12.21.29 PMMama mzazi wa Zitto Kabwe aitwaye Bi Shida ambaye alikuwa amelazwa kwa muda mrefu katika chumba cha wagonjwa wanaohitaji usimamizi makini (I.C.U) amefariki dunia.


Zitto Kabwe (Mbunge-CHADEMA) amethibitisha kifo cha mama yake kupitia mtandao wa kijamii leo tar 01/06/2014


Rais wa JYMT, Jakaya Kikkwete aliwahi kwenda kumjulia hali wiki kadhaa zilizopita kama ionekanavyo katika picha


Screen Shot 2014-06-01 at 12.14.50 PM

0 comments: