Picha: Diamond akiwa studio na Mafikizolo baada ya kumuomba collable

Kama unakumbuka nilikuhabarisha kuwa Diamond alifanya collable na msanii mwanadada mkubwa kutoka Nigeria anaeitwa Waje, Waje ndio alieomba collable kwa Diamond na collable hiyo ilifanyika Nigeria wakati tulipoenda kwa ajili ya uzinduzi wa kampeni ya kilimo.
Safari hii imekuwa ni wasanii wakubwa wa nje kuomba collable kwa Diamond tofauti na tulivyozoea wasanii wetu kuomba collable kujitangaza nje. Mafikizolo kutoka South Africa wameomba collable na Diamond na baada ya kukutana katika tuzo za MAMA na tayari imeshafanyika katika studio za huko huko South Africa

Jana (June 9) waliingia studio na ku-record collable hiyo

Mafikizolo  ni washindi wa tuzo mbili za MAMA 20114 zilizofanyika Durban, South Africa jumamosi iliyopita

0 comments: