HII NDIYO LYRICS YA WIMBO MPYA WA DIAMOND-MDOGO MDOGO


Embedded image permalink

{Verse 1}

Nimetembea tembea Bara na visiwani...

ila nikajionea we ndio my Number one..

Natamani nikupe ila sina

nimejaliwa upendo heshima..
Maneno yao matamu yasikuibe mama....
si unajua binadamu wabaya sana...
Wanawivu hao, wachonganishi hao ( ×2)
usije niacha kwa unyonge nachechemea... Utamu wa finyango na tonge ukanielemea...
Usije niacha kwa Unyonge nachechemea...
Utamu wa finyango na tonge ukala kwangu... {Chorous}
Mwendaazimu kaingiaje!
(Asije kitorondo)
Mwendaazimu kaingiaje!
(Akanikatia na Uhondo)
Mwendaazimu kaingiaje!
(Kitorondo kitorondo eeh)
Mwendaazimu kaingiaje!
(Ikinasa mpaka uondoe)
Mwendaazimu kaingiaje
(Oooh Kitorondo)
Mwendaazimu kaingiaje!
(Ikawa nyumba ya shetani)
Mwendaazimu kaingiaje! {Verse 2}
Kidogo nikileta Mumypti usinune..
Nikumbatie unikiss nijivune..
Kesho nizidishe ufanisi nijitumee..
Tujenge hadi nyumba Paris Wanunee....
Vimichezomichezo vya Saloon chunga wakipanga...
Wasije kukufunza vya uhuni ukawa unadanga...
Ukaanza safari Mchana jua kali, usiku haulali ayaah! ( ×2)
Wanawivu hao, wachonganishi hao ( ×2)
Ukaanza safari, Mchana juakali, Usiku haulali Aah yaya..! {Chorous}
Mwendaazimu kaingiaje!
(Asije kitorondo)
Mwendaazimu kaingiaje!
(Akanikatia na Uhondo)
Mwendaazimu kaingiaje!
(Kitorondo kitorondo eeh)
Mwendaazimu kaingiaje!
(Ikinasa mpaka uondoe)
Mwendaazimu kaingiaje
(Oooh Kitorondo)
Mwendaazimu kaingiaje!
(Ikawa nyumba ya shetani)
Mwendaazimu kaingiaje! {Bridge}
Mdogomdogo
Mdogomdogo (Usijali mama)
Mdogomdogo (We wacha waongee)
Mdogomdogo (Usiku na mchana)
Mdogomdogo (Mpaka wanyongee)
Mdogomdogo (Na ntakupenda sana)
Mdogomdogo (Mahaba ninyongee)
Mdogomdogo (sijali lawama)
Mdogomdogo (acha wanizonge)
Mdogomdogo (kachirikachiri)
Mdogomdogo (kachiri we ngao yangu)
Mdogomdogo (mwenzako taabani)
Mdogomdogo (nilindie roho yangu)
Mdogomdogo (wasije wa furani)
Mdogomdogo (wakaiba tamu yangu) {Ending Chrous}
Mwendaazim kaingiaje
Mwendaazim kaingiaje
Mwendaazim kaingiaje
Mwendaazim kaingiaje
Mwendaazim kaingiaje (mdogomdogo)
Mwendaazim kaingiaje (mdogomdogo)
Mwendaazim kaingiaje (mdogomdogo)
Mwendaazim kaingiaje (mdogomdogo)
Share on Google Plus

About Bachema

Blog hii inamilikiwa na Bachema Media,Kwa Biashara na Matangazo Wasiliana nasi kwa Tigo:0717342094,Email.bachemao@gmail.com.kama una wimbo pia unaweza kutuma kwenye email.bachemao@gmail.com.Karibu utangaze nasi kwa Bei Nafuu Kabisa.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment