Diamond Platinumz azidi kupiga hatua Aweka rekodi nyingine huko Twitter Unajua nini soma hapa


Diamond Platinumz ambaye yuko Durban Afrika Kusini akijiandaa na tuzo MTV, ameongeza sababu nyingine ya kutabasamu baada ya akaunti yake ya Twitter kuwa Verified. Mkali huyo mwenye Followers Zaidi ya 34, 000 ametambuliwa na Twitter kuwa mmiliki pekee/halali wa akaunti yake.
“Thank you Twitter.” Diamond ameandika.
Share on Google Plus

About Bachema

Blog hii inamilikiwa na Bachema Media,Kwa Biashara na Matangazo Wasiliana nasi kwa Tigo:0717342094,Email.bachemao@gmail.com.kama una wimbo pia unaweza kutuma kwenye email.bachemao@gmail.com.Karibu utangaze nasi kwa Bei Nafuu Kabisa.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment