{NEWS+VIDEO} BEN POL AOKOKA SASA KUIMBA NYIMBO ZA INJILI{GOSPEL}...

Ni Ben Pol akiwa Katika kanisa la VCCT alipohudhuria Tamasha la PAUL CLEMENT alijikuta akiitwa madhabahuni na kuombewa ili amrudie YESU na aweze kuimba nyimbo za injili.
Ben Pol pia aliimba wimbo wimbo wa Yesu mpenzi wa Karibu akimsindikiza Paul Clement...
.

0 comments: