Young Killer aomba msaada wa kusomeshwa.

#Mr255:Young Killer aomba msaada wa kusomeshwa.  Huu ndio ujumbe wake.  ''Kuna sehemu pana chuo hapa Kinondoni na IFM kote nilikuwa na plan,kiukweli ada bado haijakaa vizuri,kiukweli kwa mtu yoyote ambaye ana uwezo wa kuniendeleza kimasomo mimi nipo tayari, kwasababu sasa hivi na nia kabisa ya kusoma,kwasababu kilichonifanya nifeli ni kwasababu ya muziki sasa muziki kiukweli nimeshafanya vizuri ,sasa nilikuwa nahitaji kurudi shule. So kwa Mtanzania yoyote anayeweza kuniendeleza kielimu mimi nipo tayari ninamwahidi nitasoma kwa bidii. Mtu yoyote ambaye ana uwezo wa kunisomesha ajitokeze. Nataka kusomea IT. Course inagharimu kama laki nane hivi''.   Unaweza ukashea hii popote pale na wengine wafahamu..


Huu ndio ujumbe wake.

''Kuna sehemu pana chuo hapa Kinondoni na IFM kote nilikuwa na plan,kiukweli ada bado haijakaa vizuri,kiukweli kwa mtu yoyote ambaye ana uwezo wa kuniendeleza kimasomo mimi nipo tayari, kwasababu sasa hivi na nia kabisa ya kusoma,kwasababu kilichonifanya nifeli ni kwasababu ya muziki sasa muziki kiukweli nimeshafanya vizuri ,sasa nilikuwa nahitaji kurudi shule. So kwa Mtanzania yoyote anayeweza kuniendeleza kielimu mimi nipo tayari ninamwahidi nitasoma kwa bidii. Mtu yoyote ambaye ana uwezo wa kunisomesha ajitokeze. Nataka kusomea IT. Course inagharimu kama laki nane hivi''.
Share on Google Plus

About Bachema

Blog hii inamilikiwa na Bachema Media,Kwa Biashara na Matangazo Wasiliana nasi kwa Tigo:0717342094,Email.bachemao@gmail.com.kama una wimbo pia unaweza kutuma kwenye email.bachemao@gmail.com.Karibu utangaze nasi kwa Bei Nafuu Kabisa.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment