SHINDA LAKI TATU TOKA KWA OMMY DIMPOZ, HIKI NDICHO CHAKUFANYA

6

  Unaweza kujishindia shilingi laki tatu leo kwa kutuma picha kali yenye pozi la ukweli kwenda kwa Ommy Dimpoz.
Kwenye instagram Omari Nyembo maarufu kama Ommy Dimpoz anaendesha shindano la picha yenye pozi kali.
Unachokifanya ni kupiga picha na pozi la ukweli na kumtumia na yeye ataipost kwenye ukurasa wake.
Hizi baadhi ya picha walizotuma watu na jinsi ya kuzituma kwenda kwa OmmyDimpoz.
2
1 
3 
 5
4
KAMA BADO HAUJAJIUNGA NA UKURASA WETU WA FACEBOOK BOFYA HAPA ILI UPATE HABARI ZETU MOJA KWA MOJA KUPITIA FACEBOOK AKAUNT YAKO KILA SIKU

0 comments: