PICHAZ...HII NDIO JEURI NA SIFA ZA KIJINGA ZA WAHAYA...NI SHIDAAA...!JIONEE MWENYEWE


Ni katika harusi moja juzi,mjini bukoba,wahaya walioko humo kwenye likizo ya sikukuu,wakimwaga noti huku mkoa wao ukiwa taabani kiuchumi. Sikatai pesa ni zako na una uhuru wa kuzitumia utakavyo lakini twende mbele na kurudi nyuma kisha tujiulize hizo pesa zimeisaidia vipi jamii maana tumezipata toka kwa hiyo hiyo jamii...!
Watanzania tubadilike, tuache ushamba na misifa ya kijinga kama hii,turudishe fadhila kwa kuchangia elimu,maji afya na huduma nyingine muhimu kwa jamii jamani...!
HATUJIFUNZI TOKA KWA WENZETU...!!!!!

0 comments: