(Photo’s) Utengenazaji wa filamu mpya ya mwanadada NISHA BEBEE umemalizika na hizi ni baadhi ya picha zake

IMG-20140104-WA0005 IMG-20140104-WA0006 IMG-20140104-WA0007 IMG-20140104-WA0008 IMG-20140104-WA0009 IMG-20140104-WA0010 IMG-20140104-WA0011 IMG-20140104-WA0012 IMG-20140104-WA0013
Nishas Film Production na mwanadada machachari mchakarikaji asiyekuwa namashauzi @nishabebee wamemaliza kupika movie hii iliyojaa vituko na mashamsham hahahaa otea sasa utamu wake utakuwaje. Nisha ameniambia nimapema kusema jina la movie hiyo ila mashabiki wake wakae mkao wakuona kitu kingine kizuri kwa mwaka huu 2014
KAMA BADO HAUJAJIUNGA NA UKURASA WETU WA FACEBOOK BOFYA HAPA ILI UPATE HABARI ZETU MOJA KWA MOJA KUPITIA FACEBOOK AKAUNT YAKO KILA SIKU
Share on Google Plus

About Bachema

Blog hii inamilikiwa na Bachema Media,Kwa Biashara na Matangazo Wasiliana nasi kwa Tigo:0717342094,Email.bachemao@gmail.com.kama una wimbo pia unaweza kutuma kwenye email.bachemao@gmail.com.Karibu utangaze nasi kwa Bei Nafuu Kabisa.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment