Mmmh! Ni noma! Wema apost Video ya Diamond akiwa kitandani kifua wazi. Hatari sana

Leo mwanadada wema sepetu amezidi kuudhihirishia ulimwengu wa fans wake kuwa kijana raisi wa wasafi aka Diamond Platnumz ndio mahabuba wake baada ya kupost video ya mwanamuziki huyo akiwa kitandani kifua wazi kabisaaa huku akiandika “In da middle of his writing session…jus had to distrub him a little”. Mmmh hatari sana!   BONYEZA HAPA KUITAZAMA

0 comments: