PRODUCER DUPPAH AFUNGUKA;SOMA HAPAMmiliki wa studio ya touch one recordz yenye makazi yake jijini dar es salaam..Aliye tengeneza nyimbo mpya ya CRISS WA MARYA iitwayo USINIHUKUMU...afunguka juu ya mtu asiye mfahamu kiundani kutumia moja ya sing zake kwenye ngoma zao na kuendelea kuzusha kuwa touch ipo kilombero nasii dar..Duppah;"Nashangaa mtu anakaa chini na kutumia ubunifu wa mwenzie jina niliachilia mbali nw wanatumia hadi sing zang ..." Producer huyo alimaliza na neno hili.."MIMI MAJI WATANIKOGA"

0 comments: