Hii ni taarifa ya kusikitisha inayomuhusu Rich Mavoko.

mavoko
Leo January 15 Rich Mavoko kupitia ukurasa wake wa instagram ametoa taarifa za kusikitisha na marafiki zake wengi wameanza kumpa pole kupitia mtandao huo.
Rich Mavoko ameandika,“R.I.P my Father… amefariki sasa ivi jamaniiii….” pamoja na hii caption amepost picha ya rangi nyeusi.
Pole sana Rich Mavoko kwa taarifa tu msiba uko kwao morogoro alipofia baba yake na kuzika ni kesho saa 10 huko huko morogoro, taarifa nyingine zikitoka utazipata hapahapa

0 comments: