Diamond Platinumz apewa shavu lingine na Dully Sykes.

Diamond Platinumz apewa shavu lingine na Dully Sykes

Baada ya kuwakutanisha Naseeb Abdul aka Diamond Platinumz na Omary Nyembo aka Ommy Dimpoz kwenye wimbo wake uliofanya vizuri ‘Utamu’, Prince Dully Sykes amempa shavu lingine Diamond kwenye wimbo wake.

Dully Sykes alipost picha ya Diamond kwenye Instagram wiki iliyopita ikimuonesha akiwa na Diamond studio wakifanya kazi, na kuandika, "mzee#kasmpaider#na#chibu@STUDIO...KAA#TAYARI#SOON#UTAKULA."
Share on Google Plus

About Bachema

Blog hii inamilikiwa na Bachema Media,Kwa Biashara na Matangazo Wasiliana nasi kwa Tigo:0717342094,Email.bachemao@gmail.com.kama una wimbo pia unaweza kutuma kwenye email.bachemao@gmail.com.Karibu utangaze nasi kwa Bei Nafuu Kabisa.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment