BAADA YA KUTEMWA NA CLOUDS FM HIKI NDICHO ALICHOSEMA B 12...

Huu ndio ujumbe wa mtangazaji wa Clouds FM B Dozen

Hamis Mandi aka B12 mkali wa pindi la XXL ni miongoni kati ya watangazaji wa Clouds walio subirishwa kazi ya utangazaji kutokana na madai ya chinichini ya kuwa wamekiuka sheria na taratibu za Clouds Media inavyotakiwa kuendeshwa.

Baada ya chanzo chetu kuzinasa taarifa hizo, kiliamua kumvutia wire B12 live bila chenga naye akamwagika kimtindo huu,

“Mimi bado nipo Clouds media sema tu sipo kwenye kipindi now lakini mwezi wa pili nitakuwa ndani ya kipindi ukitaka full details zungumza na uongozi wa Clouds Media hope utafahamu zaidi things follow apart” – B12.
Share on Google Plus

About Bachema

Blog hii inamilikiwa na Bachema Media,Kwa Biashara na Matangazo Wasiliana nasi kwa Tigo:0717342094,Email.bachemao@gmail.com.kama una wimbo pia unaweza kutuma kwenye email.bachemao@gmail.com.Karibu utangaze nasi kwa Bei Nafuu Kabisa.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment