AY (@AyTanzania) 2014 ANAKUJA HIVI ATAFUNGA MWEZI January KWA WIMBO HUU “AHSANTE” SOMA ZAIDI HAPA
Kufanya kazi kwa bidii na kwa kujituma kwenye kile ukipendacho kwa upande mmoja au mwingine ndiyo siri kubwa ya mafanikio…Tasnia ya Muziki wa Tanzania inaendelea kufanya vizuri, na hii inathibitishwa na wasanii wanaojituma na kupenda kila wafanyacho kuendelea kufanya vizuri. Mzee wa Commercial,Ambwene Yessaya mostly known as AY yupo jikoni ambapo anapika ngoma yake mpya itakayofahamika kama “AHSANTE” ambapo anatarajia kuiachia mwisho wa mwezi huu wa kwanza 2014.

0 comments: