A Y anajifunza Urubani aongelea jinsi anavyopenda kuona maji


Huu ndio ujumbe wake.

'Urubani ni kitu nilichokuwa nakipenda na nakitamani kabla ya hata sijaanza muziki,ni kitu nilichokuwa nakipenda sana tokea zamani.kwa hiyo maisha unajua yanabadilika nikaanza kupenda vitu vingine,kupenda muziki lakini nikasema itafikia siku,nitazichanga na nitahakikisha nijisomesha'Alisema A.Y

Unaweza ukashea hii popote pale na wengine wafahamu..!!!!

0 comments: