Tazama Hapa Muonekano Mpya Wa Website Ya Dj Choka Na Ilivyo Boreshwa

Ilikuwa count down iliyosubiriwa kwa muda baada ya Dj Choka kutangaza kuwa Blog yake inaelekea kuwa website itakayo boreshwa na kuwa na mambo mengi zaidi. Ipo tayari na unaweza kupitia hapa kuangalia yaliyomo kwa sasa ila mabadiliko yanaendelea.Choka amekuwa akitoa nafasi kwa wasanii kuweka kazi zao kwenye website yake na kuzitangaza, habari za wasanii na mambo kibao unayakuta humu- Hii Ndio Link Yake http://djchokamusic.com/


0 comments: