Master Jay Kasikiliza Mixtape Ya Nikki Mbishi.Fid q alishawahi kumwambia sammsago kuwa kwenye wimbo moja wa Nikki Mbishi unaweza kupata nyimbo kumi za rap hapa bongo, Ni msanii mwenye uwezo mkubwa wa kuandika na kufanya good hiphop. Mixtape yake mpya imetoka na tayari produce mkubwa Tanzania ameisikiliza na kutoa comment yake. "Loving this kids talent"
Share on Google Plus

About Bachema

Blog hii inamilikiwa na Bachema Media,Kwa Biashara na Matangazo Wasiliana nasi kwa Tigo:0717342094,Email.bachemao@gmail.com.kama una wimbo pia unaweza kutuma kwenye email.bachemao@gmail.com.Karibu utangaze nasi kwa Bei Nafuu Kabisa.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment