OMMY DIMPOZ VS DIAMOND TOURS

Wakali wa Tanzania walio kwenye Top 5 ya wanamuziki wa Tanzania wanaolipwa fedha nyingi kwenye show, Ommy Dimpoz na Diamond Platnumz, weekend hii wametumbuiza kwenye nchi za mabara mawili tofauti.

1ff1015023b311e3adac22000a1fbe03_7
Ommy Dimpoz na timu yake ya Pozi Kwa Pozi aka PKP walikinukisha jijini Washington DC.
“It was so memorable night in Washington DC…..Texas see yaah,” aliandika Ommy kwenye Instagram. a5ae69bc235f11e39d4d22000a1f9a17_7
Ommy pia alishare picha ya noti kibao za dola alizotuzwa na mashabiki. “Hey can somebody call line 911???Dis teampozkwapoz want to kill me yooo….#thankful,” aliandika.
9d4dc0a4239811e381a322000a1fbf20_7
Kwa upande wake Diamond Platnumz na timu yake ya Wasafi aka WCB alikuwa jijini Kuala Lumpur nchi Malaysia na kufanikiwa kuvuta crowd ya kutosha pia.
5eb53c54239411e3a73822000aaa08a0_7
“Ooooh Malaysians… you Guys Made Me cry For de Love,” aliandika Diamond.
15b070f2239711e390e422000aeb0b4d_7


0 comments: