HUYU MTANGAZAJI WA RADIO ALIDAI KAMWE HAWEZI KUMWACHA PREZZO.ILA KWA SASA ANADAI PENZI LAO LIMEBAKI HISTORIA.

"Hey Guys Pliz Kwa Heshima Zote na taadhima naomba msiwe mna comment about Huddah Or Prezzo in My Page. That Chapter is closed muda mrefu sana and matter of fact Dont need Drama. My Life seems to be Naturally .


I never have plans for where it’s going to take me. Huwa nafuta na kujisikia vibaya nikiona mbaendelea comment about Prezzo. well The truth ni Kuwa My heart Belonged to another man and The Tattoo of his name katika Mkono wangu itakuwa removed yes …. working on that. I Respect him and he is such a good Person but pliz enough with his name on My Page….hope mmenielewa. love you all" Says Loveness Diva

0 comments: