CASH KINGS 2013 WANAHIP HOP WENYE MKWANJA MREFU WATAJWA NA FORBES

Wa kwanza ni P. Didy dola milioni 50.
Wa Pili Jay Z dola milioni 43
Wa tatu Dre dola milioni 40
Wa nne Nick Minaj dola milioni 29
Wa tano Birdman dola milioni 21
Wa sita Kanye West dola milioni 20
Wa saba Lil Wayne dola milioni 16
Wa nane ni Wiz Khalifa dola milioni 14 na wa tisa ni Luda Criss dola milioni 12.

Share on Google Plus

About Bachema

Blog hii inamilikiwa na Bachema Media,Kwa Biashara na Matangazo Wasiliana nasi kwa Tigo:0717342094,Email.bachemao@gmail.com.kama una wimbo pia unaweza kutuma kwenye email.bachemao@gmail.com.Karibu utangaze nasi kwa Bei Nafuu Kabisa.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment