Yahaya Wa Lady Jay Dee Ambaye Wengi Wamekuwa Wakijiuliza Ni Nani Hatimaye Amefahamika, Mtazame hapa

Mwigizaji maarufu wa filamu hapa Bongo, Kulwa Kikumba maarufu zaidi kama Dude, amechukua shavu la kucheza kama Yahaya katika video ya hitsong ya lady jay Dee ambayo upigaji picha zake unatarajiwa kukamilika leo.

Ogopa Videos kutoka Kenya ndio wakali ambao wanasimamia mchongo mzima na kufanya mitaa yote hivi sasa kusubiria kwa hamu kuona kazi hii itakapokamilika itakuwaje hasa kutokana na umahiri wa Dude katika kuigiza.

0 comments: