HII NDIO COVER PHOTO YA NYIMBO YA MSANII STEVE R'N'B....KUTOKA HIVI KARIBUNI

Icheki hapa official cover photo ya nyimbo ya msanii steve r'n'b 
anaetamba na nyimbo yake ya
jambo jambo ...

kwa sasa anakuja na kibao kingine kikali ambacho amemshirikisha
 Mr Blue kinachoenda kwa jina la
'HUYU DEMU' ambae hivi karibuni ataiachia nyimbo hiyo....
Mashabiki wa Steve subirini kitu kizuri toka kwake kaeni 

mkao wa kula au vp bhana.....basi sawa....!!

0 comments: