HAPPYBIRTHDAY AMBWENE YESAYA "AY"

Leo ni siku ya kuzaliwa mmoja ya wanamuziki ambao ni mabalozi wakubwa wa muziki wa Kikwetu kwetu, Ambwene Yesaya "AY" anasherehekea siku yake ya kuzaliwa huku akiwa ni kati ya wanamuziki ambao wamepata sifa ndani na nje ya nchi. Tunamtakia kila la heri AY siku ya leo na kumpongeza kwa kuonyesha namna juhudi na kujituma zinavyoweza kuwasaidia wasanii wetu.

0 comments: