MSANII WA BONGO MOVIE AUNT EZEKIEL ASEMA ATAKUFA HIVI KARIBUNI.

WAKATI vifo vikizidi kuwatafuna wasanii, staa wa sinema za Kibongo,

 Aunt Ezekiel amefunguka kuwa hawezi kuishi miaka mingi, atakufa mapema.

Aunt Ezekiel alifunguka hayo juzikati jijini Dar ambapo alibainisha kuwa

akijitazama mustakabali wa maisha yake basi anaona kabisa hawezi kufikisha
 miaka 40.
“Daah! Sijielewi kabisa yaani kwa jinsi ambavyo 
najiona, nikifikisha miaka 40 ni bahati aisee, dunia sasa imebadilika 
sana,” alisema Aunt.
source:http://www.babamzazi.com/2013/06/msanii-wa-bongo-movie-aunt-ezekiel.html

0 comments: