HII NDIO HALI YA BARNABAS TANGU KUPOKEA TAARIFA YA KIFO CHA MAMA YAKE MPAKA MUDA HUU

 Kiukweli inasikitisha sana tangu asubuhi hajatia kitu chochote tumboni analia ananyamaza,akipewa chakula hakitaki.mungu mjalie ndugu yetu mpe nguvu aweze kumzika mama yake kwa aman na upendo.
R.i.P mamaa BARNABAS, Maziko ni kesho saa 10 katika makaburi ya mburahati,kuanzia asubuhi saa 5 tutakuwa na misa maalum kwa ajili ya marehemu mama barnabas.

credits;hyperhk.blogspot.com

0 comments: