DIAMOND APIGA SHO NCHINI CONGO AKIWA KAVAA NGUO ZA JESHI LA KONGO, MCHEKI HAPA

ad5853eabc2511e28f4222000a1fb75e_7Diamond anafahamika kwa kujaribu idea tofauti za kukonga nyoyo za mashabiki wake kwenye stage.


Akiwa kwenye ziara yake ya Burundi na Congo, Diamond alijaribu kufanya kitu tofauti zaidi kwa kutinga nguo za military polisi (MP) za jeshi la Congo. “Chef de l’armée… #CoNgo ,” ameandika Diamond kwenye picha hiyo aliyoweka Instagram.
Share on Google Plus

About Bachema

Blog hii inamilikiwa na Bachema Media,Kwa Biashara na Matangazo Wasiliana nasi kwa Tigo:0717342094,Email.bachemao@gmail.com.kama una wimbo pia unaweza kutuma kwenye email.bachemao@gmail.com.Karibu utangaze nasi kwa Bei Nafuu Kabisa.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment