[PHOTO] Jackline Wolper Kumuenzi Kanumba hivi Karibuni ...

                                                            

Msanii wa filamu Tanzania maarufu kama Jackline Wolper hivi karibuni amepanga kuachia filamu yake nyingine mpya ambayo itakuwa ikimuenzi marehemu Steven Kanumba.
Wolper aliyasema hayo na kuwasihi fans kwenda katika viwanja vya Leaders Club kwa ajili ya kuangalia uzinduzi filamu hiyo.

0 comments: