NEW SONG/Wakali Kwanza ft Edina-NITARUDI

Hii ni track mpya kutoka katika kundi la Wakali Kwanza, this time wanakuja na ngoma yao mpya inayojulikana kama NITARUDI ...
NITARUDI ni mpya kutoka kwa WAKALI KWANZA, kundi ambalo limekuwa kimya kwa kipindi kirefu sasa huku hapo nyuma lilijizolea umaarufu sana kupitia baadhi ya track zake kama Nifanye Nikupate, Natamani na nyinginezo ...
"NITARUDI" ni track ambayo imetengenezwa ndani ya Studio ya Mazuu Records chini ya Producer Mazuu. 
Kuwa wa kwanza kusikiliza track hii hapa chini :

0 comments: