CHRIS TUCKER APATA SHAVU LA KUTANGAZA TUZO ZA BET MWAKA HUU 2013

Muigizaji na mchekeshaji wa Marekani Chris Tucker ndiye atakayetangaza Tuzo za BET mwaka 2013 ambazo zinatarajiwa kufanyika mwezi wa 6 yaani June 20.Uuuuh ngoja tuandae mbavu zetu

0 comments: